Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF)
Silver Strikers vs Yanga
Hii ni mara ya kwanza kwa timu hizi mbili kukutana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Wenyeji kwa sasa wapo nafasi ya 3 kwenye ligi yao, wakiwa nyuma kwa alama 10 dhidi ya vinara, wakati Yanga wapo nafasi ya 4 baada ya mechi 2 za ligi wakiwa na alama 4.
Silver Strikers wana rekodi ya kutisha wakiwa nyumbani, wamepoteza mechi 1 tu kati ya mechi zao 24 zilizopita za nyumbani! Wameshinda mechi 17 kati ya hizo. Chinsini Maonga amekuwa kwenye fomu nzuri hivi karibuni, akifunga katika mechi 3 kati ya 5 zilizopita za nyumbani na atakuwa na matumaini ya kuipatia timu yake ushindi.
Yanga wamepoteza mechi 1 tu kati ya mechi zao 23 zilizopita za ugenini. Wanasafiri kwenda Malawi na watakuwa na matumaini ya kupata ushindi muhimu. Wamecheza mechi 2 tu msimu huu, hivyo huenda wasiwe na stamina kama ya Silver Strikers, hata hivyo, wana uzoefu zaidi kwenye michuano hii kwani walifika robo fainali msimu wa 2023/24.

TAKWIMU: Silver Strikers na Yanga hawajawahi kukutana hapo kabla.
DONDOO ZA UBASHIRI: Timu Zote Kufunga (GG) na Zaidi ya Magoli 2.5 (Over 2.5).
Vita ya Vigogo Wawili
Bayern vs Dortmund
Vigogo hawa wawili wanakutana uso kwa uso katika mtanange wa kuwania alama 3 muhimu. Bayern wapo kileleni wakiwa na alama 18, huku Dortmund wakifuatia si mbali wakiwa na alama 14. Mechi 2 zilizopita baina yao ziliisha kwa sare, ya mwisho ikiwa ni mwezi Aprili ambapo matokeo yalikuwa 2-2.
Bayern wameshinda mechi zao zote 4 za nyumbani katika michuano yote, wakifunga magoli 18 ya ajabu na kuruhusu goli 1 tu, na hiyo ni shukrani kwa mshambuliaji wa Uingereza aliye kwenye fomu, Harry Kane, aliyefunga magoli 12 katika mechi zake 6 zilizopita, huku sajili mpya wa majira ya joto Luis Diaz akichangia magoli 5 na kutoa pasi 4 za magoli (asisti).
Dortmund nao hawajapoteza katika mechi zao zote 5 za ugenini kwenye michuano yote msimu huu, wakifunga magoli 12 na kuruhusu 7, kati ya hayo, 4 walifungwa ugenini dhidi ya Juventus kwenye Ligi ya Mabingwa (UCL). Kwa upande wa Dortmund, ni mshambuliaji kutoka Guinea Serhou Guirassy ambaye amekuwa akifunga magoli kwenye ligi, akiwa na magoli 4 na asisti 1.

TAKWIMU: Katika mikutano yao 10 iliyopita, Bayern Munich wameshinda 6, Dortmund 2, na wametoka sare 2.
DONDOO ZA UBASHIRI: Bayern Ashinde, Zaidi ya Magoli 2.5 na Kane Afunge Wakati Wowote.
Dabi Ambayo Si Dabi
Liverpool vs Man Utd
Dabi hii ya Kaskazini-Magharibi inaahidi kuwa ya kusisimua na yenye presha kubwa kwa timu zote mbili. Liverpool watakuwa na hamu ya kumaliza mfululizo wao wa kupoteza, huku Manchester United wakitaka kuendeleza mwamko wao. Kutokana na timu zote kuwa na vipaji vya ushambuliaji na historia ya upinzani mkali, mashabiki wanaweza kutarajia mechi ya kusisimua pale Anfield.
Liverpool wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na rekodi nzuri nyumbani, baada ya kushinda mechi zao tano zilizopita za nyumbani katika michuano yote. Hata hivyo, wanakabiliwa na presha inayoongezeka baada ya kupoteza mechi tatu mfululizo za ugenini dhidi ya Crystal Palace, Galatasaray, na Chelsea. Meneja Arne Slot yupo chini ya uangalizi mkubwa anapojaribu kuwaingiza wachezaji wapya kadhaa kwenye kikosi. Ushindi katika dabi hii unaweza kuwa chachu ya mabadiliko chanya.
Kwa upande mwingine, Manchester United wapo kwenye mwenendo mzuri wa kupanda. Baada ya kufungwa 3-1 na Brentford, walirejea kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland. Chini ya uongozi wa meneja Ruben Amorim, United watalenga kupata ushindi wa pili mfululizo wa ligi kwa mara ya kwanza msimu huu. Safu ya ulinzi ya Manchester United itajaribiwa, lakini fomu yao ya hivi karibuni inaonyesha wanaweza kukabiliana na changamoto hiyo. Vita ya eneo la kiungo itakuwa muhimu, kwani timu zote zina wachezeshaji mahiri.

Mo Salah amefunga magoli 16 na kutoa asisti 6 katika mechi 17 alizocheza dhidi ya Manchester United.